Wanyange wanaowania taji la Redd's Miss Temeke 2010 wakiwa katika picha ya pamoja jana ikiwa katika moja ya maandalizi ya mashindano hayo yatakayofanyika July 6 kwenye klabu ya TCC Chang'ombe siku ambayo hakutakuwa na mchezo wowote wa fainali za kombe la Dunia. (Picha kwa hisani ya BMP Promotions)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269