KITENDAWILI cha nani kuwa mgombea mwenza wa Rais Jakaya Kikwete kinateguliwa leo hatua itakayofuata baada ya Jk kupitishwa rasmi na kikao cha NEC ya CCM mjini Dodoma.
Dodosa za vyombo vya habari zinawapa shavu mmoja kati ya Waziri wa fedha wa zamani Zakia Meghji, Waziri Kiongozi aliyekuwa anawanaia kuteuliwa kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar, Nahodha au Waziri wa Nchi Ofisi ya makamu wa Rais, anayeshughulikia Muungano Mohammed Seif Khatib.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269