.WANAFUNZI wa kidato cha pili na tatu wa shule ya sekondari ya Maranatha, iliyopo mjini Mbeya, wakipewa maelezo na mjasiriamali kutoka kampuni ya Mwesigwa, Juliet Sospeter, hatua kadhaa zinazofuatwa wakati wa utengenezaji wa Mvinyo, katika maonesho ya Nanenane kanda ya Nyanda za juu kusini inayoshirikisha wakulima wa mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma na Iringa.
Your Ad Spot
Aug 6, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
iko pouwa sana ni vyema kuendelea kufanya hivyo katika matukio.
ReplyDelete