SHABANI Himidi (7) anayetarajiwa kuanza darasa la kwanza mwakani katika shule ya Green Hill, Dar es Salaam, akionyesha 'machejo' ya kucheza wimbo wa 'uwe' wa kundi la Makhiri khiri, katika mahafali hayo
Polisi na watu wengine wakimtuza hela kibao mtoto huyo baada ya kuwachen gua kwa machejo yake
Wahitimu wa mambo ya ulimbwende na saluni wakijimwanyamwaya uwanjani wakati wa mahafali hayo
Ilibidi wengine kuvua viatu ili kuufaidi muziki
Wahitimu wa ulimbwende na saluni wakiwa katika mahafali hayo
Wahitimu wa Katibu Muhtasi wakiwa kwenye mahafali hayo.
Mapolisi wa usalama barabarani , Joseph Mgeri na Anthony Ichuragiza, wakiwa na vyeti vayao walivyotunukiwa kwa kufuzu mafunzo ya ukaguzi magari katika mahafali hayo
Wahitimu wa mafunzo ya udereva wa magari makubwa nao hawa hapa
Waandishi wakipata press release ya shughuli hizo za mahafali
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269