Mtangazaji wa Uhuru FM, Mariam Mziwanda akimhoji Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa, kuhusu hatua ya Wakala wa Barabara, TANROADS kutaka kuondoa mabango ya matangazo kwenye hifadhi za barabara katka manispaa hiyo.
Mariam akiwa nje wakati akisubiri kuingia Ofisini kwa Meya kumhoji kuhusu sakata hilo
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269