Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimkaribisha ofisini kwake, Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, jana Mtaa wa Lumumba mjini Dar es Salaam.
Mukama aakizungumza na Msuya
Mukama akiagana na Mufti baada ya mazungumzo yao. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Waislam Tanzania (BAKWATA), Suleiman Said Lolila
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269