Jogoo wakipambana katika eneo la Mbezi Beach, Kawe, Dar es Salaam. leo.
chanzo cha ugomvi huo uliodumu kwa zaidi ya dakika tano kabla ya
kuamuliwa na wapitanjia hakikuweza kujulikana mara moja.
2
3
4
5
6
7
8
9
10
11
12
PICHA ZIMEPIGWA NA KUTAYARISHWA NA:
NKOROMO BLOG
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269