Nape Nnauye, Katibu wa NEC, Itikadi/Uenezi CCM |
Akizungumza kutoka Dar es salaam ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema CCM inaitakia kila la kheri na mafanikio katika mchezo huo wa kesho na kwamba CCM inatambua umuhimu wa taifa Stars kushinda mechi hiyo.
"Naamini dua za CCM na Watanzania wote kwa jumla zinaweza kuiwezesha Taifa Stars kushinda mechi hiyo ambayo ni muhimu sana, Watanzania tunaomba muiombee Taifa Stars, tunaimani nayo, bila shaka itashinda kesho" alisisitiza Nape
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269