Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikazama mizinga ya kisasa katika maonyesho
ya Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni katika mahafali yaChuo hicho
mjiniTabora Agosti 30, 2013. Wapili kushoto ni mwenyekiti wa Bodi ya
Baraza la Chuo hicho, Liana Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya vifaa vya kusindika
asali katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora ambako alikuwa
mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo hicho Agosti 30,2013. Kushoto ni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary
Nagu na Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na
kushoto
kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Chuo hicho, Liana
Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya vifaa vya kusindika asali
katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora ambako alikuwa mgeni
rasmi katika mahafali ya Chuo hicho Agosti 30,2013. Kushoto ni Waziri
wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary Nagu .
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua bwalo la chakula la Chuo cha Nyuki
cha Tabora akiwa mgeni rasmi katika Mahafali ya Chuo hicho Agosti
2013. Wapili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Balozi Hamisi
Kagasheki na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Liana Hassan
na Watatu Kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Waziri wa Maiasili na Utalii,
Hamisi Kagasheki (wapili kulia), Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kulia), Mkuu wa Mkoa wa Tabora,
Fatuma Mwasa (watatu kushoto ), Mbunge wa Tabora Mjini Aden Rage
(kushoto) na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha Nyuki Tabora, Liana
Hassan (watatu kulia) wakiimba wimbo wa Taifa katika mahafali ya Chuo
cha Nyuki cha Tabora ambapo Mgeni rasmi alikuwa ni Waziri Mkuu Agosti
30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwaaga wahitimu wa Chuo cha Nyuki cha Tabora baada ya kuwatunuku vyati, Diploma katika
mahafali ya Cuo hicho Agosti 30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Your Ad Spot
Aug 30, 2013
Home
Unlabelled
PINDA ATUNUKU VYETI NA DIPLOMA KWA WAHITIMU WA CHUO CHA NYUKI TABORA
PINDA ATUNUKU VYETI NA DIPLOMA KWA WAHITIMU WA CHUO CHA NYUKI TABORA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269