Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen,
wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen,
wakati alipokuwa akiagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku kurejea nchini kwao
baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Kushoto ni Waziri wa Nishati
na Madini, Prof. Sospeter Muhongo. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen,
wakati alipokuwa akimsindikiza na kuagana naye kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Waziri huyo ameondoka jana usiku
kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Picha na
OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Mkuu wa Finland, Jyrki Katainen, wakati alipokuwa akiondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, jana usiku kurejea nchini kwao baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini. Picha na OMR

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269