Wananchi katika eneo la Mayfair, Mikocheni jijini Dar es Salaam, wakitazama basi la Magereza lenye namba MT 0046, lililoharibika kwa kusambaratishwa baadhi ya vioo, katika barabara ya Old Bagamoyo, baada ya kushambuliwa kwa risasi na majambazi yasiojulikana ambayo yalifanikiwa kutoweka na mahabusu mmoja aliyekuwa miongoni mwa mahabusu waliokuwa wakisafirishwa kwa basi hilo leo. Katika tukio holo, mahabusu wawili na askari mmoja wa Magereza wamejeruhiwa
sehemu ya nyuma ya basi hilo ikiwa wazi baada kioo kusambaratishwa kwa risasi na majambazi hayo kufanikiwa kumtorosha mahabusu kupitia sehemu hiyo. PICHA ZAIDI ZA MKSA HUU>. BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269