Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyochachuliwa wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)
|
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto), kuhusu mitungi inayotumika kupikia bia walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
Wanajeshi wakioneshwa shayiri inayotumika kutengenezea bia
Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya akitoa maelezo ya jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia njia ya kisasa ya kompyuta wakati wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
|
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakipata maelezo kutoka kwa Mpishi Mkuu wa Bia wa Kiwanda wa cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam, Kelvin Nkya (kushoto), jinsi bia inavyopimwa ubora katika maabara walipotembelea kiwanda hicho jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) |
Askari hao wakitembelea maabara ya kiwanda hicho
Wakiwa katika moja ya mitambo ya kutengenezea bia
|
Wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya, wakitembelea Kiwanda cha Bia cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam jana, wakiambatana na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ). |
Nkya akijibu maswali ya askari hao
|
Oriyo akielezea mafanikio ya TBL na jinsi kampuni hiyo inavyoongoza katika pato la Taifa |
Kanali Jimmy Mutai kutoka Chuo cha Jeshi Kenya akitoa shukurani kwa TBL BAADA UJUMBE WAO KUTEMBELEA KIWANDA
Kanali Mutai akikabidhi zawadi kwa Meneja wa Kiwanda hicho, Carvin Martine
|
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine akimkabidhi zawadi Ofisa wa Jeshi la JWTZ, aliyeongoza ujumbe huo, Brigedia Jenerali Dominic Mrope |
|
Martine akimkabidhi zawadi Ofisa kutoka Ofisi ya Rais Mipango na Ugatuzi, Purity Masikombe |
Meneja wa Mawasiliano-Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania, Emma Oriyo (kulia), akiagana na baadhi ya wanajeshi kutoka Chuo cha Jeshi Kenya baada ya kutembelea kiwanda cha TBL Dar es Salaam jana, wakiongozwa na maofisa wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ).
|
Ujumbe huo ukitembelea idara ya ujazaji bia kwenye chupa na makopo |
Viongozi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa wanajeshi hao
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269