|
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL
Mbeya, Waziri Jemedari akitoa maelezo kuhusu kiwanda hicho kwa Wahariri kutoka
vyombo mbali mbali vya habari nchini.
|
|
Meneja
wa Kampuni ya Vinywaji ya Konyagi(TDL) akifafanua jambo kwa Wahariri wa vyombo
vya habari.
|
|
Mkurugenzi mkuu wa Kampuni ya
Bia(TBL) na SUBMiller East Africa Operesheni, Roberto Jarrin, akionesha kitu
ubaoni kwa Wahariri wa Vyombo vya habari nchini waliofanya ziara katika kiwanda
cha Bia Tawi la Mbeya.
|
|
Steve Kilindo (Corporate
affairs& legal director) akitoa maelezo kwa Wahariri.
|
|
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa TBL, Editha Mushi
akibadilishana mawazo na mmoja wa watumishi wa TBL Mbeya. |
Wahariri wakifutailia maelezo mbalimbali kiwandani hapo
|
Wahariri wakifuatilia kwa makini mada
zinazowasilishwa. |
|
Meneja
Viwango wa TBL Esther Mmari akitoa maelezo juu ya viwango vya bia
zinazozalishwa kwa Wahariri.
|
|
Baadhi ya Watumishi wa TBL wakikagua makaratasi
yaliyojazwa na Wahariri baada ya kupewa kazi ya kuchagua Bia aina ya
Kilimanjaro yenye ubora. |
|
Baadhi
ya Wahariri wakiangalia kwa makini Bia zilizo kwenye grasi ili kugundua bia
yenye ubora unaotakiwa.
|
|
Wahariri pamoja na Watumishi wa TBL wakielekea kutembelea mitambo ya
kutengenezea vinywaji katika kiwanda cha Bia cha TBL tawi la Mbeya.
|
|
Meneja
wa Kiwanda cha Bia cha Mbeya Waziri Jemedari akitoa maelezo kwa Wahariri wakiwa
wanatembelea na kuangalia mitambo mbali mbali kiwandani hapo.
|
|
Wahariri wakiwa Kiwandani wakiangalia mitambo mbali
mbali. |
|
Mmoja
wa Wahariri akiuliza swali kutoka kwa Uongozi wa TBL.
|
|
Wahariri
na Watumishi wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha ziara
katika kiwanda cha Bia cha Mbeya.
|
|
Mmoja
wa Waendesha mitambo katika kiwanda cha Bia cha Tbl akiendelea kuhamisha bia
zilizotengenezwa tayari kwa kupelekwa sokoni.
|
|
.
Sehemu ya ndani ya Kiwanda cha Bia cha TBL Mbeya.
|
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269