Breaking News

Your Ad Spot

May 14, 2015

REAL MADRID YATOKA SARE NA JUVENTUS,JUVENTUS YATINGA FAINALI

Pamoja na kuonekana ni timu ‘mchekea katika nne zilizoingia nusu fainali, Juventus imefanikiwa kutonga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Juventus imeingia fainali na sasa itacheza dhidi ya Barcelona Juni 6, mwaka huu jijini Berlin, Ujerumani.
Imetinga fainali baada ya kuing’oa Real Madrid kwa jumpa ya mabao 3-2 katika mechi ya nusu fainali ya pili iliyopigwa kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu.
Mechi hiyo iliisha kwa sare ya bao 1-1 baada ya Ronaldo kuanza kuifungia Madrid kwa penalti kabla ya Alvaro Morata kusawazisha katika kipindi cha pili.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages