• Home
  • About Us
  • Our Contacts
  • Contact for ADS/Matangazo

theNkoromo Blog
    • HOME:
    • KITAIFA
    • KIMATAIFA
    • SIASA
    • KIJAMI
    • BIASHARA/UCHUMI
    • MICHEZO/BURUDANI
    • MAKALA
    • MAGAZETI
  • Breaking News

    Your Ad Spot

    May 20, 2015

    Home Unlabelled UEFA : MATUMIZI YA VILABU KUANGAZIWA

    UEFA : MATUMIZI YA VILABU KUANGAZIWA

    khamisimussa77@gmail.com 5/20/2015
    UEFA
    Shirikisho la soka barani Ulaya linajiandaa kuondoa sheria ya mwaka 2011 itakayozuia vilabu kufanya matumizi ya ziada.
    Katika mahojiano na redio ya Ufaransa RTL,rais wa UEFA Michel Platini amesema kuwa sheria hiyo ilikuwa ikifanya kazi vizuri lakini itapigwa msasa mishoni mwa msimu huu.
    Hatua hiyo inafuatia ripoti katika gazeti la Le Parisien siku ya jumapili iliosema kuwa kuna mabadiliko muhimu yatakayofanyiwa sheria hiyo.
    Viongozi wa UEFA
    Manchester City pamoja na kilabu ya PSG zilipigwa faini mwaka uliopita kwa kukiuka sheria hiyo.
    Baadaye mwandani wa rais wa vilabu vya Ulaya ambaye pia ni katibu mpanga ratiba Gianni Infantino aliithibitishia BBC kwamba mazungumzo kuhusu FFP na vilabu vikuu vya Ulaya yanaendelea huku marekebisho hayo yakijadiliwa
    Share This
    Author Image

    About khamisimussa77@gmail.com

    By Blog Wazalendo Blog khamisimussa77@gmail.com - 5/20/2015
    Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

    No comments:

    Post a Comment

    Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

    Newer Post Older Post Home
    Subscribe to: Post Comments (Atom)

    Post Top Ad

    Your Ad Spot

    theBashir Media

    theBashir Media

    Total Pageviews

    Followers

    Our Viewers arond the World

    KISIWA MTU?

    KISIWA MTU?

    Chagua Lugha/Translate Language👇

    Tafuta (Search) hapa

    Wazalendo Blog. Powered by Blogger.

    Maktaba yetu

    Pages

    • Home

    Kama una ujumbe tutumie hapa

    Name

    Email *

    Message *

    This Blog Designed and Developed By Bashir Nkoromo | Bashir Nkoromo | Property of Chama Cha Mapinduzi