Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Mgombea ubunge jimbo la Mbulu Vijijini, kwa tiketi ya CCM, Fraten Maasai, akiomba kura baada ya kutambulishwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Umati wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, leo kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiingia kwenye mkutano wake wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Kijana akionysha bango la kumfagilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan, kwenye mkutano wa kampeni za CCM za Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa mikutano wa Mbulu mjini mkoani Manyara.
Mgombe mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akimsalimia kijana Augustine Male, mwenye ulemavu, ambaye alihudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza huyo, leo Mbulu Mjini.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, akimnadi mgombea Ubunge jimbo la Karatu, kwa tiketi ya CCM, Wilbard Lorri, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika kijiji cha Mbulumbulu katika jimbo hilo.
Mwananchi akiwa na mabango ya kuwafagilia mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dk. John Magufuli na Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika leo, Mbulu mjini.
Wananchi katika Kijiji cha Mbulumbulu, wakimshangilia Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili kufanya mkutano wa kampeni katika eneo hilo leo
Kina mama wakimzawadia mavazi, Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Mbulumbulu, wilayani Karatu, mkoani Arusha.
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, katika eneo la Karatu mjini, Mama Samia ambapo alilazimika kuwasalimia, wakati akiwa njiani kwenda Mbulu leo
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwasalimia wananchi waliosubiri msafara wake kkwenye makutano ya mkoa wa Arusha na Manyara, wakati akitoka Arusha kuingia Manyara
Wananchi wakiwa wamezuia msafara wa Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan katika eneo la Magugu, wilayani Bbati mkoani Manyara leo. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO
Your Ad Spot
Aug 28, 2015
Home
Unlabelled
MAMA SAMIA AKAMUA KAMPENI LEO KATIKA MAJIMBO YA MBULU NA BABATI
MAMA SAMIA AKAMUA KAMPENI LEO KATIKA MAJIMBO YA MBULU NA BABATI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269