Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana
(kushoto) akigonisha glasi na msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe
ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Ester akikata keki huku akisaidiana namsaidizi wake
Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana (kushoto) akimlisha keki msimamizi wake, Hellen, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Bi Harusi mtarajiwa Ester Diana Nana akimkabidhi keki, Naibu Katibu Mkuu wa Ofoso ya Makamu wa Rais, Bi. Angelina Madete, wakati wa sherehe ya kuagwa (Send off) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.(P.T)

Mwendesha Shughuli Mc Bazil, akifanya yake katika sherehe hiyo
Mama Mzazi wa Bi harusi mtarajiwa, akimkabidhi zawadi ya Biblia mwanae Ester
Wakwe wakiandaa zawadi ya Bi harusi mtarajiwa kabla ya kumkabidhi
Mc Bazil. akimkabidhi zawadi ya Cd Bi Harusi mtarajiwa ukumbini hapo
Wakati wa zawadi.....
Bi harusi
mtarajiwa akiwa na mumewe mtarajiwa wakielekea kupata chakula cha usiku
ukumbini hapo. Watarajiwa hao wanatarajia kufunga ndoa jumamosi ya wiki
hii.
Wakati wa mlo wa usiku
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269