Kura
halali zitakazopigwa siku ya Jumapili kwa ajili ya kuwachagua viongozi
kwenye Uchaguzi Mkuu zinaweza kuharibika ikiwa hazitapigwa kwa usahihi
na kuondoa utata..
Kura iliyoharibika ni ile ambayo:
-
Haina alama yoyote
-
Imepigwa kwa wagombea zaidi ya mmoja
-
Imeandikwa jina la mpiga kura
-
Alama imewekwa nje ya kisanduku cha picha ya mgombea
-
Haina muhuri wenye alama rasmi
Kura sahihi;
-
Yenye alama ya ‘v’ kwenye kisanduku
-
Yenye alama yoyote kwenye kisanduku/picha/ jina la mgombea
Utata
Kutakuwa
na utata endapo utaweka alama iliyopitiliza kisanduku cha mgombea mmoja
na kufika kwa mwingine. Epuka kuharibu kura. Kura yako, mustakabali wako
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269