Rais Jakaya Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog
Rais Jakaya Kikwete akimfariji Mjane wa marehemu Mchungaji Mtikila, Georgia Mtikila
Waombolezaji
wakiwa wameubeba mwili wa aliyekuwa Mchungaji Christopher Mtikila,
katika viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam kabla ya kuuaga mwili wa
mchungaji huyo.
Waombolezaji wakiwauweka mwili wa aliyekuwa Mchungaji Christopher Mtikila sehemu maalumu kwa maandalizi ya kuuaga mwili wa mchungaji huyo
Msajili wa Vyama vya Siasa mstaafu , Jaji John Tendwa akiweka saini katika kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee Holl Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa Mchungaji Christopher Mtikila
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akiweka
saini katika kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee Holl
Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa Mchungaji Christopher Mtikila
Makamu wa Rais Gharib bilal akiweka
saini katika kitabu cha maombolezo katika viwanja vya Karimjee Holl
Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa Mchungaji Christopher Mtikila
Makamu wa Rais Gharib bilal akimfariji Katibu Mkuu wa Alliance for Democratic Change Lydia Bendera katika viwanja vya
Karimjee Holl
Dar es Salaam wakati wa maandalizi ya kuuaga mwili wa Mchungaji Christopher Mtikila
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi akizungumza kwa niabaya ya Serikali
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269