Breaking News

Your Ad Spot

Nov 16, 2015

CCM RORYA YAWASIMAMISHA VIONGOZI 16 WALIOSAIDIA UKAWA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU

CCM wilaya ya Rorya imewasimamisha viongozi wake 16 wa ngazi mbali mbali wilayani humo kwa kubainika kuwa wakati wa uchguzi mkuu walisaidia UKAWA hali ambayo imesababisha CCM kupoteza kata nane.

Mwenyekiti wa CCM wa wilata hiyo mkoani Mara, Samwel Kiboye amesema Chama kimewapa siku 13 kutoa utetezi wao kabla ya kuvuliwa uanachama

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages