Wachezaji wa timu ya Liverpool wakimpongeza Philippe Coutinho (katikati) baada ya kufunga bao la kusawazisha dakika 45 kipindi cha kwanza katika Uwanja wa Stamford Bridge.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akishangilia.
Wachezaji wa Chelsea wakimpongeza kiungo, Ramires (kushoto) baada ya kufunga bao la kuongoza dakika ya 24.
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia bao lao la pili dakika ya 74 lililofungwa na Philippe Coutinho.(P.T)
Mshambuliaji wa Liverpool, Christian Benteke akifunga bao la tatu mbele ya mabeki wa Chelsea.
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho akiongea jambo wakati wa mchezo huo.
Mchezaji wa Liverpool, Emre Can (chini) akimchezea rafu kiungo wa Chelsea, Willian.
Mkurugenzi wa timu ya Chelsea, Bruce Buck akifuatilia mechi hiyo.
Timu ya
Chelsea leo imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani wa
Stamford Bridge baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa
Liverpool.
Chelsea
inayonolewa na Kocha Mreno, Jose Mourinho ilishindwa kulinda bao lake la
mapema ililolipata dakika ya nne kupitia kwa kiungo Ramires.
Hii
inakuwa mechi ya kwanza kwa Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp kupata
ushindi kwenye EPL tangu ajiunge na kikosi hicho mapema mwezi huu.
Aidha
inaweza kuwa mechi ya mwisho kwa Mourinho kuendelea kukinoa kikosi cha
Chelsea kwani alipewa mechi mbili kuhakikisha anashinda ikiwemo hii ya
leo lakini zote amepoteza.
Chelsea
(4-2-3-1): Begovic 6; Zouma 5, Cahill 6, Terry 6, Azpilicueta 6 (Falcao
75, 6); Ramires 7, Mikel 6.5 (Fabregas 69, 6), Willian 7; Oscar 6.5,
Hazard 5 (Kenedy 59, 6), Costa 6
Subs not used: Baba, Remy, Matic, Amelia
Scorer: Ramires 4
Booked: Mikel
Liverpool
(4-3-3): Mignolet 6; Clyne 7, Skrtel 7, Sakho 7.5, Moreno 5.5; Can 6.5,
Lucas 6.5, Milner 7 (Benteke 64, 7); Lallana 7.5 (Lovren 90), Coutinho
8.5, Firmino 7.5 (Ibe 75, 6.5)
Subs not used: Allen, Bogdan, Teixeira, Randall
Scorers: Coutinho 45+3, 74, Benteke 83
Booked: Coutinho, Lucas, Can, Benteke
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269