Cindy katika tabasam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI NUSSA)
Mtarajiwa Cindy akiwa katika pozi katika Ukumbi wa Chichi uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam usiku huu
Mama mzazi wa Cindy, Grece Ngassa akiwa katika pozi katika ukumbi wa Chichi wakati wa Sherehe ya mtoto wake iliyokuwa inayoendelea hivi sasa Jijini Dar es Salaam
Cindy akipambwa
Mama mzazi wa Cindy , Grece Ngassa kulia akiwa na Shangazi aliye kushoto na wakatikati ni Bibi wa Cindy
dyana & happy marafiki
Cindy katika pozi na marafiki zake dyana & happy
Mtarajiwa Cindy akiwa katika pozi na Marafiki zake
Mc, Machuwa akisherehesha shughuli hiyo katika ukumbi wa Chichi uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Simu NO. 0754-373467
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269