Meneja
Mpango wa Taifa wa kidhibiti Kifua Kikuu na Ukoma Wizara ya Afya na
Ustawi wa Jamii, DK. Beatrice Mutayoba akishiriki kufanya usafi na
wafayakazi wa Wizara hiyo katika maeneo la Taasisi ya Tiba ya Mifupa
,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Dar es Salaam
wakitekeleza agizo la Rais Magufuli. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Kaimu
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa
ya Fahamu (MOI) Dk, Othman Kiloloma (wa tatu kulia) akiungana na
wafanyakazi wake kufanya safi katika maeneo ya Taasisi hiyo Maadhimisho
ya sikukuu ya 9,Decemba Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269