Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil
akisalimiana na Uongozi wa Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji pamoja na
Maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakati alipowasili Chuoni hapo
kufunga mafunzo ya Sajini na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,
Kozi ya Awali yaliyofanyika hayo Chuoni hapo.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, akikagua
Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Awali ya
Sajini na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji yaliyofanyika katika
Chuo cha yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji, jijini Dar
es Salaam.
Gwaride
la Wahitimu wa Mafunzo yaKozi ya Awali ya Sajini na Askari wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji likipita mbele ya mgeni Rasmi, Katibu Mkuu wa Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (hayupo pichani) wakati wa
kufunga mafunzo hayo katika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji jijini Dar es
Salaam.
Muhitimu
wa Mafunzo ya Kozi ya Awali ya Sajini na Askari wa Jeshi la Zimamoto na
Uokoaji, Semeni Daudi Chiunda, akipokea zawadi kutoka kwa Katibu Mkuu
wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, kutokana na kuwa
Mhitimu Bora katika kipingere cha Ukakamavu wakati wote wa Mafunzo
yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi JKT Kimbiji jijini Dar es
Salaam.(Picha zote na Abubakari Akida, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269