Wachezaji wa Timu ya TTPL na Polisi Moro
wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Muungano
zinazofanyika katika viwanja vya Gymkhana Zanzibar timu ya Polisi Moro
imeshinda 36--33.
Mchezaji wa timu ya TTPL Mwanaasha Ali (
GS) akiwa na mpira huku mchezaji wa timu ya Polisi Moro Jawa Iddi (GD)
akijiandaa kumzuiya katika mchezo wao wa kuwania Ubingwa wa Ligi Kuu ya
Muungano ya Mchezo wa Netiboli yanayofanyika katika viwanja vya Gmykhana
Zanzibar Timu ya Polisi Moro imeshinda 36--33.
Kocha wa Timu ya TTPL akitowa maelezkezo kwa wachezaji wake wakati wa mapumziko ya kota ya tatu timu hizo zikiwa
sare ya 25-25
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269