Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza
na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo. Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea
zawadi kutoka kwa Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Jasem Al Najem, baada
ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Mhe. Nasem Al Najem
na Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana
na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene Kayihura, alipofika Ofisini
kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 22, 2015 kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa
katika picha ya pamoja na Balozi wa Rwanda nchini Tanzania, Mhe. Eugene
Kayihura na msaidizi wake Issa, baada ya mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu
jijini Dar es Salaam, leo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269