Kikosi cha uokoaji kikielekea eneo ulipokuwa mwili.
Wananchi wakishuhudia tukio hilo.
Mwili wa mwanaume huyo baada ya kutolewa kwenye maji.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la tukio.
Mwili ukipelekwa kwenye gari baada ya kutolewa majini.
Mwili ukiingizwa kwenye gari.
Safari ya Muhimbili ikianza.
Mwili wa mwanaume mmoja ambaye hakutambulika jina lake, umeokotwa leo asubuhi katika Daraja la Selander jijini Dar es Salaam.
Kwa
mujibu wa mashuhuda, mwili huo ulikutwa katika maji machafu darajani
hapo, ambapo ulitambuliwa na dereva bodaboda aliyetoa taarifa polisi
mara moja.
Mwili huo umepelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi wa kipolisi ili kubaini chanzo cha kifo chake.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269