Breaking News

Your Ad Spot

Dec 14, 2015

WAZIRI JANUARY MAKAMBA ARIPOTI KWA BOSI WAKE LEO, KIBARUA KIGUMU KUSULUHISHA MZOZO WA ZANZIBAR KINAMSUBIRI

 Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akipoz kwa picha na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Ikulu jijini Dar es Salaam Desemba 14, 2015. Moja ya kibarua kikubwa ambacho Mh. Makamba anatarajiwa kuanza nacho ni mgogoro wa kisiasa huku Tanzania visiwani, ambapo hadi sasa bado haijajulikana hatma ya uchaguzi mkuu wa rais wa visiwa hivyo utakuwa vipi. Makamu wa Rais alifanya mazungumzo na Waziri wake huyo ambapo hakuna taarifa rasmi kutoka ofisi yake kueleza nini hasa alichokuwa akimuelekeza waziri huyo kijana.


No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages