Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura), Felix Ngamlagosi alipofanya ziara ya kujua utendaji wa mamlaka hiyo, Dar es Salaam.
Akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na viongozi wa wa Ewura, Profesa Mbarawa ameagiza mamalka hiyo, kufungua haraka matawi katika Kanda mbalimbali nchini ili kurahisisha uboreshaji wa huduma za maji.
Pia ameitaka Ewura, kutoa adhabu kali kwa taasisi,mamlaka za maji na wafanyabishara wa maji wanaotoa huduma zisizoridhisha hasa kuuza maji machafu.
Waziri Profesa Mbarawa, ameuagiza uongozi wa Ewura, kumpelekea mikataba ya utendaji ya Mwenyekiti wa Bodi na Mkurugenzi Mkuu, ili kila mmoja afuatiliwe uwajibikaji wake.
Waziri, Profesa Mbarawa ambaye katika ziara hiyo alifuatana na Naibu wa Wizara hiyo, Injinia Isack Kamwela, amesifia utendaji mzuri wa mamlaka hiyo. PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
Profesa Mbarawa akiingia kwenye ukumbi wa mikutano wa Ewura.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kulia) akizungumza katika mkutano na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) pamoja na viongozi wa mamlaka hiyo, Dar esSalaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Profesa Jamidu Katima .Kulia kwake ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Injinia Isack Kamwela.
Mwenyekiti wa bodi ya Ewura, Profesa Jadidu Katima. akizungmza katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Ngamlagosi akielezea utendaji wa mamlaka hiyo.
Mkurugenzi wa Maji wa Ewura, Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki akielezea jinsi mamlaka hiyo inavyodhibiti huduma za maji.
Profesa Mbarawa akisisitiza jambo katika mkutano huo.
Ramani ya jengo la Ewura ikioneshwa kwa Waziri Profesa Mbarawa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza katika mkutano na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) pamoja na viongozi wa mamlaka hiyo, Dar es Salaam.Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Injinia Isack Kamwela.
Mkurugenzi wa Sheria wa Ewura, Miriam Mahanyu akielezea kuhusu sheria na kanuni zinavyofanya kazi kwa lengo la kuboresha huduma za maji na nishati nchini.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto), akipokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Profesa Jamidu Katima vitabu mbalimbali vinavyoonesha utendaji wa mamlaka hiyo, alipofanya ziara ya kikazi Ewura, Dar es Salaam
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiagana na baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), alipofanya ziara ya kujua utendaji wa mamlaka hiyo, Dar es Salaam leo.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (katikati) akiondoka baada ya kufanya ziara ya kikazi katika Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (Ewura), Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Felix Ngamlagosi. Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Injinia Isack Kamwela.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (Ewura), Felix Ngamlagosi baada ya kufanya ziara ya kujua utendaji wa mamlaka hiyo, Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Injinia Isack Kamwela

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269