Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad
Masauni, akisalimiana na Maofisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati
wa ziara yake kutembelea Idara hiyo ya Uhamiaji Zanzibar.kushoto Mkuu wa
Idara ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad
Masauni, akisalimiana na Maofisa wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati
wa ziara yake kutembelea Idara hiyo ya Uhamiaji Zanzibar.Mkuu wa Idara
ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad
Yussuf Masauni akipata maelezo kutoka kwa Afisi wa Uhamiaji Zanzibar
wakati wa ziara yake katika Idara ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania
Mhe Hamad Yussuf Masauni akitembelea Vitengo vya Idara ya Uhamiaji
Zanzibar wakati wa ziara yake na kuangalia Utendaji wa Idara hiyo
Zanzibar.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269