Dkt.Magreth
William Magambo ambae ni Daktari Bingwa wa Mionzi katika Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akitoa ufafanuzi juu ya Ushiriki wa
Watumishi wa Hospitali hiyo la kushiriki Usafi wa Mazingira la Kila
Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Amesisitiza
wananchi kuwa na desturi ya kufanya Usafi wa mara kwa mara (Kila Siku)
katika mazingira yao ili kuepukana na hatari ya kupata magonjwa ya
kuambukiza ikiwemo kipindupi huku akikumbusha zaidi pia wanajamii
kuzingatia kanuni za usafi katika maeneo muhimu kama vile vyooni. Kunawa
mikono kwa maji safi na sabuni baada ya kutoka chooni.
Dkt.Peter
Maziku ambae ni Daktari katika kitengo cha CTC katika Hospitali ya
Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akizungumza wakati wa zoezi la
usafi la kila mwisho wa mwezi lililofanyika hii leo Jijini Mwanza.
Anasema
watoa huduma mbalimbali (Madaktari, Waalimu, Wafanyabiashara nk) katika
jamii lazima wawe mfano wa kuigwa katika kuwajibika kuweka mazingira
katika hali ya usafi ili kuwezesha wananchi wengine kuiga mfano huo.
Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.

Kulia
ni Dkt.Peter Maziku ambae ni Daktari katika kitengo cha CTC katika
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure akiwa pamoja na
Dkt.Charles Ludibuka ambae ni Mfamasia katika Hospitali hiyo Sekour
Toure walishiriki zoezi la usafi katika Mazingira ya Hospitali hiyo.
Katika picha wakichoma uchafu baada ya usafi.
Baadhi
ya Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekour Toure
wakishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho
wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la
Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi
lililofanyika hii leo January 30,2016.
Hapa
wakiwa katika barabara ya Machemba Jijini Mwanza ambayo inatoka na
kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sour Toure.
Baadhi
ya Watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, wakishiriki zoezi la
Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila Mwisho wa Mwezi
lililofanyika hii leo January 30,2016.
Hapa
wakiwa katika barabara ya Machemba Jirani na Kituo cha mafunzo ya Lugha
mbalimbali cha International Language Training Centre Jijini Mwanza
ambayo inatoka na kuingia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza
Sour Toure.

Wanafunzi
pamoja na Watumishi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM tawi la Mwanza,
pia nao walishiriki zoezi la Usafi wa Mazingira la Kila Jumamosi ya Kila
Mwisho wa Mwezi lililofanyika hii leo January 30,2016.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269