WAZIRI MKUU, MAJALIWA AKUTANA VIONGOZI WA AIRTEL.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za
Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Sunil Bharti Mittal kabla ya
mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Februari
18, 2016.
Waziri
Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Airtel Afrika,
Christian Defaria (kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya
Bharti Airtel ya India, Sunil Bharti Mittal (katikati) kabla ya
mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Februari
18, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269