Waziri
Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili katika Uwanja wa Ndani wa Michezo
kabla ya kikao baina yake na wadau na viongozi wa vyama vya michezo
jana jijini Dar es Salaam.
Waziri
Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa akielekeza jambo kuhusu mradi wa kuendeleza Uwanja wa Ndani wa
michezo jana jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye, Katibu Mkuu wa
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole
Gabriel na wa mwisho kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck
Sadick.
Waziri
Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim
Majaliwa akimsikiliza kwa makini Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye alipowasili katika Uwanjwa wa Ndani wa
Michezo kabla ya kikao baina yake na wadau na viongozi wa vyama vya
michezo jana jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269