Mkuu
wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo akimjulia hali Mkurugenzi
Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo, Ibrahim Matovu katika
Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)
anapo endelea kupatiwa huduma mapema Dar es Salaam leo, ambapo
anatarajiwa kuruhusiwa kwa leo au kesho kutokana na haliyake kuendelea
vizuri (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA )
Diwani
wa Kata ya Kilomo, Bagamoyo, Hassan Usinga (Wembe) akimjulia hali Afisa
Maendeleo ya Jamii ya Bagamoyo Julius Mwanganda mara alipofika katika
Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI)
anapopatiwa matibabu kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani humo
hivi karibuni
Diwani wa Kata ya Maboga iliyopo wilaya ya Iringa Vijijini mkoani Iringa, Vemi Chambala akimsimulia Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo (aliyefunga mikono) wakati alipofika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa ,Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) Muhimbili, kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya Bagamoyo ambapo wanapata matibabu kutokana na ajali mbaya iliyotokea mkoani humo
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Everist Ndikilo, akimjulia hali Afisa Maendeleo ya Jamii ya Bagamoyo Julius Mwanganda
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269