Breaking News

Your Ad Spot

Mar 22, 2016

WAZIRI NAPE KUREJESHA HADHI YA MUZIKI WA DANSI NCHINI

2Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wasanii wa Muziki wa Dansi alipokutana nao jana jijini Dar es Salaam.
3Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa (BASATA) Bw. Godfrey Mungereza akizungumza wakati wa mkutano baina ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) na wasanii wa muziki wa Dansi nchini jana jijini Dar es Salaam. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages