Breaking News

Your Ad Spot

Apr 5, 2016

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA ARUSHA


tana1
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko, Ibrahim Mussa (kulia) akiongea na Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo (kati) na Mhifadhi wa Idara ya Ulinzi, Haima Hera muda mfupi kabla ya kuwasili kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwa ziara fupi hifadhini hapo.

tana2
Kaimu Mhifadhi Mkuu Hifadhi ya Taifa ya Arusha Bi. Maria Kirombo akitoa maelezo mafupi kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kabla ya kuanza kwa ziara fupi katika Hifadhi ya Arusha.

tana3
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii ndani ya basi dogo wakiangalia wanyama aina ya nyati wanaopatikana katika Hifadhi ya Arusha.

tana4
Twiga watatu wakionesha mbwembwe zao mbele ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii.

tana6

tana7
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani (kushoto),  Joseph Kasheku ‘Msukuma,  Kemilembe Julius na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA Ibrahim Mussa katika picha ya pamoja.

tana9
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii walipowasili Hifadhi ya Taifa ya Arusha

tana10
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Ramo Makani akiongea na watumishi wa Hifadhi ya Arusha mara baada ya kumalizika kwa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages