Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Sheikhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam
Alhadi Mussa Salum mara baada ya kuwasili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi mara
baada ya kuwasili katika viwanja vya Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid
Elfitri
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu
Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasili.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(katikati) akifurahia jambo na Mufti Mkuu
Sheikh Aboubakar Zubeir(kulia) pamoja na Waziri Mkuu Kassim majaliwa(kushoto) wakati walipokuwa
wakisiliza ujumbe wa Kaswida katika baraza la Eid Elfitri.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli(kulia) akijadiliana jambo na Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa(kushoto) katika Baraza la Eid Elfitri.
Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir akimshukuru
Rais Dkt. Magufuli mara baada ya kuhutubia katika Baraza hilo
Waumini wa dini
ya kiislamu wakifatilia kaswida iliyokuwa ikiimbwa katika viwanja hivyo vya
Karimjee.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti Mkuu Sheikh Aboubakar Zubeir
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akihutubia katika baraza hilo la Eid Elfitri
Baadhi ya
viongozi mbalimbali wakifatilia hotuba hiyo ya mgeni rasmi.
Rais
John Magufuli akizungumza na mtoto Asma Maulid baada ya kuhubia Baraza la Idi
kwenye ukumbi wa Karimjee
Rais
John Magufuli akisalimiana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislam
waliohudhuria Baraza la Idi alilolihutubia kwenye ukumbi wa Karimjee
jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Mufti
Mkuu wa Tanzania Sheikhe Aboubakar Zubeir wakati alipowasili katika viwanja vya
Karimjee kwa ajili ya Baraza la Eid El fitri lililofanyika katika viwanja
hivyo.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269