Breaking News

Your Ad Spot

Aug 21, 2016

MREMBO SHINDANO LA MISS MWANZA MWAKA HUU APATIKANA, NI MARY PETER







Usiku wa Agost 19,2016 kuamkia Jumamosi Agost 20,2016, kulikuwa na mtifuano mkali wa kumtafuta mlimbwende wa taji la MISS MWANZA 2016 ambapo warembo 16 kutoka wilaya mbalimbali mkoani Mwanza walijitosa kusaka taji hilo.

Kinyang'anyiro cha Miss Mwanza 2016, kiliandaliwa na Kampuni ya "Big D Entertainment" na baada ya kinyang'anyiro hicho, utafuatia mtifuano wa MISS LAKE ZONE 2016 utakaofanyika Septemba 10, 2016 ambapo washiriki wa Miss Mwanza 2016, waliongia nafasi tano bora, wamejinyakulia pia tiketi ya kushiriki moja kwa moja kwenye shindano hilo. Pichani ni Mary Peter akiwa na Mshindi wa pili Victoria Patrick (kushoto) na Mshindi wa tatu Winnie Shayo (kulia) baada ya kutwaataji la Miss Mwanza, katikashindano hilo. PICHA ZAIDI>>>GONGA HAPA

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages