Warembo wanaowania taji la Miss Ilala 2016, wakipozi mbele ya wageni waalikwa katika hafla maalum ya uzinduzi wa shindano hilo iliyofanyika jijini Dar es Salam usiku wa kuamkia leo. Shindano hilo limezinduliwa sambamba na maadhimisho ya miaka 20 ya Miss Ilala tangu ianze mwaka 1996. PICHA ZAIDI >>GONGA HAPA
Your Ad Spot
Aug 19, 2016
Home
Unlabelled
SHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
SHINDANO LA MISS ILALA 2016 LAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269