
Shiza
Kichuya wa Simba (kushoto), akijaribu kuwatoka walinzi wa JKT-Ruvu
kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania Bara kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila
kufungana. (PICHA NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID)

Frederick Blagnon (kushoto) wa Simba, akiwania mpira na Rahim Juma wa Ruvu JKT kwenye pambano hilo

Mlinzi wa kati wa Ruvu JKT, "akiosha" mpira mbele ya washambualiaji hatari wa Simba, Laudit Mvugo (kushoto) na Ibrahim Ajib

Kipa wa Ruvu JKT, Michael Aidan, akiukamata mpira huo mbele ya mklinzi wake

Moja ya mipira hatari iliyoelekezwa kwenye lango la Ruvu JKT








Laudit Mavugo, (kushoto), wa Simba,
akichuana vikali na mlinzi wa JKT Ruvu, kwenye pambano la soka ligi kuu
ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, jioni hii
Agosti 27, 2016. Timu hizo zimekwenda sare ya bila kufungana. (PICHA NA
K-VIS BLOG/KHALFAN SAID)

Mshambuliaji wa Simba, Frederick
Blagnon, akichupa kupiga kichwa mpira wa kross kwenye llango la JKT Ruvu
kwenye pambano la soka ligi kuu ya Tanzania bara kwenye uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam, Agosti 27, 2016. Timu hizo zilitoka sare ya bila
kufungana

Kikosi cha Simba kilichomenyana na JKT-Ruvu jioni hii kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Kikosi cha Ruvu- JKT, kilichomenyana na
Simba kwenye pambano la ligi kuu soka Tanzania bara kwenye uwanja wa
Taifa jijini Dar es Salaam na kutoka sare ya bila kufungana.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269