Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa
Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke kufatia mchango wa Waziri Mkuu wa
Uingereza alioutoa kwa Serikali ya Tanzania kwa ajili ya kusaidia waathirika wa
Tetemeko la Ardhi mkoani Kagera kiasi cha Paundi za Uingereza Milioni 2.3 sawa
na Takribani Shilingi Bilioni sita za Kitanzania. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269