Kamishna wa Kamisheni ya Kimataifa ya Elimu, Rais Mstafu Jakaya Kikwete, akihutubia maelfu ya wananchi katika jiji la New York, Marekani, wakati wa tamasha la 'Global Citizen Festival' lililofanyika Central Park. Kikwete aliitaka Jumuiya ya kimataifa kuchangia na kuwekeza katika elimu kwa mustakabali wa kizazi cha sasa na kijacho. Kulia ni Makamishna mwenzake, Waziri Mkuu wa Norway Erna Solberg
Umati wa wakazi wa jiji na New York waliojitokeza katika tamasha hilo fedha zinazopatikana kipitia tamasha hilo hupelekwa kusaidia masuala mbalimbali ya kijamii. Tamasha hilo lilitumbuizwa na wanamziki maafuru akiwamo Rihanna ambaye ametangazwa kuwa Balozi wa Elimu
Rais Mstaafu akibadilishana mawili matatu na Waziri wa Mazingira wa Nigeria Amina Mohammed ambaye naye alikuwa mmoja wazungumzaji katika tamasha hilo
Rais Mstaafu Kikwete akisalimiana na Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Samantha Power walipokutana kwenye tamasha hilo
Your Ad Spot
Sep 25, 2016
Home
Unlabelled
RAIS MSTAAFU KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI JIJINI NEW YORK, AITAKA JUMUIA ZA KIMATAIFA KUCHANGIA ELIMU
RAIS MSTAAFU KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WANANCHI JIJINI NEW YORK, AITAKA JUMUIA ZA KIMATAIFA KUCHANGIA ELIMU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269