Mmoja wa kamishna rais mstaafu Jakaya Kikwete.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/video capture).
Mmoja wa
makamishna wa tume ya kimataifa ya kusaka uchangishaji kwa elimu
Duniani, amesema mapendekezo yao ya kuinua kiwango cha elimu
yasipozingatiwa, watoto wengi zaidi hatawakuwepo shuleni ifikapo mwaka
2030.
Jakaya
Kikwete ambaye pia ni Rais mstaafu wa Tanzania ameiambia Idhaa hii
jijini New York, Marekani baada ya uzinduzi wa ripoti yao kuwa, Mapendekezo yao ni pamoja na mbinu mpya za uchangishaji ikiwemo taasisi za kimataifa za kibenki akisema kinachohitajika..
Ripoti
hiyo inasema serikali zisipowezeka katika elimu, watoto katika nchi
hususan za kipato cha chini watatwama kwenye mzungumzo wa umaskini na
kusalia bila stadi zinazohitajika. (P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269