Waziri
wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu
akisaini Maazimio ya Wabunge wa Tanzania yenye dhamira ya kutokomeza
ugonjwa wa kifua kikuu” TB Caucus “,mtandao huo ulianzishwa jijini
Barcelona,Hispania Oktoba 2014 na kuitwa Mtandao wa Wabunge duniani “The
Global TB Caucus
Mjumbe wa Mtandao wa wabunge duniani,Mhe. Faustine Ndugulile akisaini maazimio hayo
Mwenyekiti
wa kamati ya huduma za jamii, Mhe. Peter Serukamba akisaini maazimio
hayo ya wabunge wa Tanzania.nchini Tanzania takribani wagonjwa 160,000
huugua kifua kikuu kila mwaka.
.Picha ya pamoja ya maofisa toka wizara ya afya na wadau wa Tb wakiwa na Waziri wa Afya na mjumbe wa mtandao wa wabunge duniani
Naibu
Mratibu wa Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Kifua kikuu na ukoma Dkt.
Liberate Mleoh akijibu maswali yaliyoulizwa na waheshimiwa wabunge
wakati wa semina ya wabunge kuhusu kifua kikuu iliyofanyika kwenye
ukumbi wa wabunge jijini Dodoma.
Afisa mpango toka mpango wa taifa wa
kudhibiti kifua kikuu na ukoma dkt. Deus Kamala akijibu baadhi ya
maswali yaliyoulizwa na wabunge.(Picha zote na Catherine Sungura-Dodoma)(P.T)
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269