MAKABIDHIANO: Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa sasa wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi, Jaji wa Rufaa Semistocles Kaijage (kushoto) taarifa ya utendaji
Kazi wake kwa kipindi miaka mitano alichokuwa madarakani.
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,
Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
na Sekretarieti ya Tume hiyo mara baada ya kukabidhi taarifa ya utendaji Kazi
wake kwa kipindi miaka 5 alichokuwa madarakani
Mwenyekiti wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji
wa Rufaa Semistocles Kaijage akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi na Sekretarieti ya Tume hiyo mara kupokea taarifa ya utendaji Kazi wa
Mwenyekiti Mstaafu wa Tume hiyo Jaji Damiani Lubuva jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
(NEC), Ramadhan Kailima akizungumza jambo wakati wa makabidhiano hayo
jijini Dar es salaam. Katikati ni Mwenyekiti Mstaafu wa Tume Jaji Mstaafu Damian Lubuva na Kulia ni Mwenyekiti wa Sasa wa NEC, Jaji wa Rufaa, Semistocles Kaijage.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji wa Rufaa Semistocles Kaijage akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti Mstaafu wa
Tume Jaji Damiani Lubuva , Wajumbe wa Tume na Secretarieti ya Tume hiyo. Picha na Aron Msigwa - NEC.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269