Katibu Mtendaji, Bodi ya Filamu nchini Tanzania, Mama Joyce Fissoo.
Na BMGHabari
Bodi ya Filamu nchini imebainisha kwamba kukamilika kwa sera ya kusimamia uendeshaji wa tasnia ya filamu, kutasaidia kuwakomboa wanatasnia hiyo kwa kuinua kuinua uchumi wao na wa Taifa kwa ujumla.
Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Bi.Joyce Fisso, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa kwenye kipindi cha Power Break Fast On Saturday kinachoendeshwa na watangazaji Philip Mwihava na Godfrey Kusolwa...Inaendelea/>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269