Marehemu Edwin Mselle enzi za uhai wake |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Mecky Sadick kwenye mazishi hayo |
Waombolezaji |
waombolezaji |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisaliiana na Paroko wa Kanisa Katoliki Mwika, Emmanuel tumaini wakati wa mazishi hayo |
Katibu Mkuu Abdulrahman Kinana akia na viongozi na waombolezaji wengie kwenye mazishi hayo |
Upande wa wa Ndugu wa Marehemu wakiwa kwenye mazishi hayo |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahma Kinana akiwa amesimama na viongozi na waombolezaji wengine wakati wa ibada ya kuomea marehemu wakati wa mazishi hayo |
Wanakwaya wakiimba nyimbo za maombolezo kwenye mazishi hayo |
Ibada ya kuombea marehemu ikifanyika wakati wa mazishi hayo |
Waombolezaji |
Waombolezaji |
Muombolezaji |
Waombolezaji wakilachakula |
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akitoa salam za rambirambi zake binafsi, CCM na za Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati wa mazishi hayo |
Kinana akikabidhi rambirambi kutoka CCM na Jumuia zake kwa Baba wa Marehemu Edwin, Christopher Mselle wakati wa mazishi hayo |
Kinana akimpa pole Padre Dackshen Hangai wakati wa mazsihi hayo. |
Vijana wa UVCCM wakiwa wamebeba jeneza kwenda eneola maziko, wakati wa mazishi hayo |
Vijana wa UVCCM wakiwasili na jeneleza lenye mwili wa marehemu katika eneo la maziko |
Kinana akiwasili eneo la mazikowakati wa mazishi hayo |
Taratibu zikifanywa na Padre kabla ya kuingiza jeneza kaburini |
Huyu kuku naye alihudhuria mazihi hayo, na wengi kutafsiri kwamba, Marehemu amezikwa kwa baraka sana |
Padre akisoma maandiko matakatifu ya biblia kabla ya mwili kuingizwa kaburini |
Jeneza lenye mwili wa marehemu likiingizwa kaburini |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiweka udongo kaburini |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Said Mecky Sadick akimwaga udongo kaburini wakati wa maziko |
Baba na Mama wa marehemu wakiweka udogo kaburini. TAFADHALI ENDELEA KUTAZAMA PICHA ZAIDI ZA MSIBA HUU. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269