Maafisa
Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Viongozi wa Taasisi mbalimbali,
Wahariri wa Vyombo vya Habari, Madaktari, Waandishi wa Habari pamoja na
Wapiga picha wakifanya mazoezi ya viungo ikiwa ni sehemu ya kulinda miili yao dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza pamoja
na utekelezaji wa agizo la Mhe. Makamu wa Rais wa Tanzania Mama Samia
Suluhu Hassan alilolitoa 17 Desemba, 2016 ambalo linawataka Watumishi wa
Uma kazini kujenga utamaduni wa kufanya mazoezi. Mazoezi hayo
yamefanyika jana Feb 18, 2017 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es
Salaam.

Salaam. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa blog.
Katibu
Tawala Wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam, Rahel Muhando, aliyevaa
flana nyekundu pichani, akishiriki katika mazoezi hayo
Mratibu wa Magonjwa yasiyo ambukiza Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii, Mkoa wa Dar es Salaam na Daktari Bingwa Hospitali ya Temeke, Digna (kulia) akishiriki mazoezi hayo
Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Innocent Mungy akizungumza jambo baada ya kumaliza mazoezi hayo
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji (TBC), Dk. Ayub Rioba akizungumza jamabo
mara baada ya mazoezi hayo yaliyofanyika jana Dar es Salaam katika
Viwanja vya Mnazi Mmoja, ambapo vipimo mbalimbali vilifanyika bila
malipo yoyote ikiwemo, Tezi dume, Vvu, wanawake kupima matiti kwa
saratani ya matiti, plesha nakupata ushauri. Picha zaidi/>BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269