Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa
Kapaya(kushoto), alipofika ofisini kwake kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo
hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
la kuhudumia Wakimbizi(UNHCR), Chansa Kapaya(kushoto), akizungumza na Waziri wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, alipofika ofisini kwa waziri
kujadili masuala ya wakimbizi
wanaohifadhiwa katika kambi mbalimbali
nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, akiagana na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la
kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada ya kumaliza
mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo, kujadili masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika kambi
mbalimbali nchini Tanzania. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba, akiwa katika picha ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Chansa Kapaya (kushoto), baada
ya kumaliza mazungumzo yaliyofanyika ofisini kwa waziri huyo, kujadili
masuala ya wakimbizi wanaohifadhiwa katika
kambi mbalimbali nchini Tanzania. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi
kutoka wizarani hapo, Harrison Mseke. Mazungumzo hayo yamefanyika jijini Dar
es Salaam loe.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269