Msafara
wa Magari ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Malisili na
Utaalii,yakpita katika maeneo mbalimbali ya Pori Tengefu la Loliono kwa
ajili ya kujionea hai halisi ya mgogoro ulioo katika eneo hilo.
Mwenyekii
wa Kamati ya Kudumu ya Ardhi ,Maliasii na Utalii,Atashasta Ndetiye
(katikati) akiongozana na wajumbe wengine wa kamati hiyo kutizama vyanzo
vya maji vilivyoko katika Pori Tengefu la Loliondo.
Waziri
wa Malisili na Utalii ambaye pia ni mjumbe wa kamati hiyo,Prof Jumanne
Maghembe akiongozana na wataalamu katika ziara ya kamati hiyo.
Mtafiti
Mkuu wa Idara ya Ikolojia (TAWIRI) Dkt Edward Khoi akitoa maelezo ya
kitaalamu kwa wajumbe wa kamati ya kudumu ya Ardhi,Malisili na Utalii
wakati wakitembela Pori tengefu la Loliondo.
Baadhi ya wajumbe wa kamato hiyo wakifuatilia maelezo kutoka kwa wataalamu wa Ikolojia na Uhifadhi.
Mkuu
wa Hifadhi ya Taifa ya Serengeti,William Mwakilema akiwaeleza wajumbe w
kamati hiyo madhara yatakayojitokea endapo eneo la Pori Tengefu la
Loliondo halita hifadhiwa.
Wajumbe
wa Kamati ya Maliasili na Utalii,wakitizama eneo linalotajwa
kutengenezwa na wafugaji kwa ajili ya kunyweshea maji mifugo yao ndani
ya Pori Tengefu la Loliondo.
Eneo linalouiwa na wafugaji unyweshea mifgo yao.
Sehemu ya Mabirik yanayotajwa kutengenezwa na jamii ya wafugaji kwa ajili ya kunywesha mifgo yao.
Mwenyekiti
a Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii,Atashsta
Ndetiye (kulia) pamoja na Waziri wa Malisili na Utalii,Prof ,Jumanne
Maghembe wakitizama eneo ambalo i mapiio ya maji katik Pori Tengefu la
Loliondo.
Moja ya Makundi ya Ng'ombe yaliyokutwa na Kamati hiyo katika Pori Tengefu la Loliondo.
Wajumbe
wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakizungumza
na mmoja wa wafugaji waliokutwa wakichunga Ngombe ndani ya Pori Tengefu
la Loliondo.
Kamati ilikutana pia na Changamoto ya uboovu wa Miundombinu ya barabara hali iliyolazimu magari kupita kwa tahadhari .
Wajumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Utalii wakitizama
moja kati ya vyanzo vy maji vinavyotiririsha maji yake katika mto
Gurumeti uliopo katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.
Mbunge
wa Jimbo la Sumve ambaye pia ni mjube wa kamati hiyo,Richard Ndasa
akizungumza jambo mara baada ya kutizama moja ya vyanzo vya maji
vilivyoko katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo.
Sehemu ya Makundi ya Mifugo pamoja na Mashamba yaliyopo katika eneo la Pori Tengefu la Loliondo.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii,Kanda ya Kaskazinia
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269